Kikurudu

Kikurudu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakurudu kwenye kisiwa cha Kurudu na vinginevyo. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kikurudu imehesabiwa kuwa watu 2180. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikurudu iko katika kundi la Kiyapen.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search